Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 30, 2022
Habari Mpya
Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi kiwanja cha ndege Msalato
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi kiwanja cha ndege Msalato
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na Wananchi kabla ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Mkoani Dodoma tarehe 30 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Meneja Mkaazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa upande wa Tanzania Dkt. Patricia Leverley kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, Mkoani Dodoma tarehe 30 Oktoba, 2022. Wengine katika picha ni Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali.
Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma wakiwa kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato Mkoani humo tarehe 30 Oktoba, 2022.
Post Views:
288
Previous Post
Mradi wa maji wa bil.1.6/- kumaliza changamoto ya maji Ruaha
Next Post
Simba yaitwika mzigo Mtibwa Sugar 5-0
Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali
Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani
Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza
Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika
TRA yawashukuru walipakodi, wadau kwa mwaka 2023/24
Habari mpya
Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali
Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani
Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza
Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika
TRA yawashukuru walipakodi, wadau kwa mwaka 2023/24
Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati
‘Uchumi wa Tanzania, Zanzibar kuendelea kuwa wa kuridhisha’
Prof Lipumba : Hali ya demokrasia duniani inaendelea kuporomoka
Rais Mwinyi : Serikali itajenga barabara nyingi Pemba
PPPC yatoa mafunzo ya uwekezaji kupitia ubia kwa madiwani wa Ilemela
Serikali yatoa milioni 400 kusambaza mitungi ya gesi kwa ruzuku Dodoma
Rais Samia aipongeza Zanzibar kusimamia malengo ya Mapinduzi Matukufu kwa kuboresha elimu
Wilaya 108 zafikiwa huduma za mawasiliano
Rais Dkt. Samia akiwa kwenye uzinduzi wa Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar
Rais Dkt. Samia afungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar