Rais Samia aweka jiwe la Msingi Kiwanja cha Ndege cha Iringa
JamhuriComments Off on Rais Samia aweka jiwe la Msingi Kiwanja cha Ndege cha Iringa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Mapanda mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Iringa tarehe 12, Agosti, 2022.