Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 14, 2023
Habari Mpya
Rais Samia awatembelea na kuwajulia hali kiongozi mstaafu na wajane wa viongozi Dar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia awatembelea na kuwajulia hali kiongozi mstaafu na wajane wa viongozi Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Yusuf Makamba mara baada ya kuwasili Nyumbani Kwake Wazo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Yusuf Makamba mara baada ya kuwasili Nyumbani kwake Wazo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Mswala kutoka Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Yusuf Makamba mara baada ya kumjulia hali nyumbani kwake Wazo Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere wakati alipokwenda nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumsalimia na kumjulia hali tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Maombolezo mara baada ya kuwasili nyumbani kwa Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe Mikocheni Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe wakati alipokwenda kumtembelea nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.
Post Views:
344
Previous Post
Serikali Zanzibar kuzijenga upya mahakama zote Unguja, Pemba
Next Post
Rais Samia awaapisha viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Habari mpya
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto