Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani amewatakia Kwaresma njema Wakristo wote na kuwataka kuendelea kuiombea nchi na Dunia nzima amani na upendo.
Previous Post
Mwili wa Mwai Kibaki huenda ukafukuliwa
![](https://www.jamhurimedia.co.tz/wp-content/uploads/2023/02/kibaki-1-287x300.jpg)
Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani amewatakia Kwaresma njema Wakristo wote na kuwataka kuendelea kuiombea nchi na Dunia nzima amani na upendo.
Nawatakia Kwaresma njema Wakristo wote. Katika hija hii ya kiroho mnayoianza leo kwa Jumatano ya Majivu, endeleeni kuiombea nchi yetu na Dunia nzima amani na upendo. Majivu katika paji la uso yawakumbushe ubinadamu wenu na kumrudia Mwenyezi Mungu, mkiomba ulinzi wake kwetu sote.
— Samia Suluhu (@SuluhuSamia) February 22, 2023
I wish a prayerful and peaceful Lent to all Christians. As you mark the beginning of this season with Ash Wednesday today, may it be a reminder of our mortality, penance and the loving mercy of God. Let’s continue praying for our country, for peace and for a just world for all.
— Samia Suluhu (@SuluhuSamia) February 22, 2023
Copyright 2024