Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Kenya Mhe. William Samoei Ruto