Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 27, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia awasili Arusha kwa ziara ya kikazi
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia awasili Arusha kwa ziara ya kikazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha, leo tarehe 27 Novemba, 2024.
Viongozi wa dini, wadau wa utalii pamoja na wageni kutoka maeneo mbalimbali wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 27 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa dini, wadau wa utalii pamoja na wageni mbalimbali waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 27 Novemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na watoto wakati wa mapokezi yake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 27 Novemba, 2024.
Post Views:
272
Previous Post
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Next Post
CCM yakiri kupata pigo kifo cha Ndungulile
Serikali itaendelea kuboresha huduma za uhamiaji – Dk Biteko
Dk Mwinyi asamehe wafungwa wanafunzi 33
Sillo : Wananchi toeni taarifa sahihi kupunguza muda wa uhakiki wa vitambulisho vya NIDA
Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Habari mpya

Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba