Rais Samia awapa tano wakulima nchini kwa uzalishaji chakula nchini, nchi ina akiba ya kutosha
JamhuriComments Off on Rais Samia awapa tano wakulima nchini kwa uzalishaji chakula nchini, nchi ina akiba ya kutosha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wananchi wa Mpanda kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika wakati wa Kilele cha Wiki ya Wazazi mkoani Katavi katika Viwanja vya Azimio, Mkoani Katavi tarehe 13 Julai, 2024.