wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jaji Mstaafu Mbarouk Salim Mbarouk kuwa Makamu Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Omar Mapuri kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Zakia Mohamed Abubakar kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Julai, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.