Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 15, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dar es Salaam
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 15 Agosti, 2024. Mawaziri hao walioapa ni: Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria;
Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu); Mhe. Jenista Joackim Mhagama (Mb.) kuwa Waziri wa Afya; na Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb.) kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Abdul Rajab Mhinte kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Ally Saleh Possi kuwa Wakili Mkuu wa Serikali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Agosti, 2024
Post Views:
326
Previous Post
TCB kushirikiana na Bunge kuwainua wajasiriamali nchini
Next Post
Rais Samia apokelewa na gwaride maalum Zimbabwe
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia