Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 16, 2023
Habari Mpya
Rais Samia awaapisha mabalozi , Ikulu Dodoma
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia awaapisha mabalozi , Ikulu Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.
Samia Suluhu Hassan
akimuapisha
Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli
, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha
Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka
kuwa Balozi wa Tanzania nchini
Rwanda
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Dkt. Mohamed Juma Abdallah kuwa Balozi wa Tanzania nchini
Saudi Arabia
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Bw. Gelasius Gaspar Byakanwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini
Burundi
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan
akimuapisha
Bw. Khamis Mussa Omar kuwa Balozi
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan
akimuapisha
Bw. Habibu Awesi Mohamed
kuwa Balozi wa Tanzania nchini Qatar kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Mabalozi Wateule wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Mabalozi Wateule wakisaini Hati za kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.
Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Viongozi, Mabalozi Wateule pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuriahafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe
.
Samia Suluhu Hassan
akiwa na Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa
, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe. Dkt. Stergomena Tax
, Katibu Mkuu Kiongozi
Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka
, Kamishna wa Maadili
Jaji Mhe. Sivangilwa Mwangesi
kwenye picha ya kumbukumbu na
Mabalozi Wateule
aliowaapisha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023.
Post Views:
347
Previous Post
TFS: Ubunifu wa Royal Tour umeongeza idadi ya watalii nchini
Next Post
Muuguzi anayedaiwa kubaka mjamzito aachiwa huru
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia