Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhe. Dkt. Moses Kusiluka kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam 29 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Heshima Pro Business Environment Award kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kwa niaba ya Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akitoa Tuzo kwa Mikoa mitatu iliyofanya vizuri kwenye majadiliano na kuchangia Ukuaji wa Uchumi. Mikoa hiyo ni Dodoma, Dar es Salaam na Kilimanjaro katika Mkutano huo uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo 29 Julai, 2024.