Rais Samia ateta na na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia Ikulu Dar
JamhuriComments Off on Rais Samia ateta na na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Dkt. Tewodros Beleke Mkurugenzi wa Programu za Dunia na Mwakilishi wa Susan Buffet Foundation leo tarehe 11 Novemba, 2024 Ikulu Jijini Dar es Salaam.