Rais Samia ateta na mwanafamilia wa utawala wa mji wa Dubai Sheikh Ahmed Dalmook Al Makton
JamhuriComments Off on Rais Samia ateta na mwanafamilia wa utawala wa mji wa Dubai Sheikh Ahmed Dalmook Al Makton
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya Picha ya Jengo la Kihistoria la Zanzibar, Bait el Ajaib, Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwanafamilia wa Utawala wa Dubai kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 06 Februari, 2023.