Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 19, 2022
Kitaifa
Rais Samia ateta na malkia wa Uholanzi Ikulu Dar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ateta na malkia wa Uholanzi Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na Malkia wa Uholanzi Mhe. Maxima ambaye pia ni Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Mfumo Jumuishi wa Fedha katika Maendeleo mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Oktoba, 2022.
Post Views:
180
Previous Post
RC Nyerere:Wasioona kupewa huduma stahiki kama wengine
Next Post
Walimu wafikishwa kortini kwa kuvujisha mtihani wa Taifa
Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon
Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo
Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Habari mpya
Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon
Dk Biteko aridhishwa na ujenzi wa kituo cha Gesi Asilia CNG Ubungo
Bajaji, bodaboda marufuku kufika mjini Januari 20-RC Chalamila
RC Chalamila afanya maandalizi ya Mkutano wa wakuu Afrika wa nishati, akagua miradi Dar
Waziri Fedha aitaka TRA kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kodi
Dk Biteko aagiza kituo cha huduma kwa wateja TANESCO kusukwa upya
Wakazi Same watakiwa kutunza na kulinda miundombinu inayowekezwa na Serikali
Kundo : Wakazi 180,000 kunufaika na miradi ya maji 35 Pwani
Mashambulizi ya Israel yaua watu 19 Gaza
Tanzania mwenyeji mkutano wa kikanda wa Baraza la viwanja vya ndege Afrika
TRA yawashukuru walipakodi, wadau kwa mwaka 2023/24
Tanzania, Uingereza kushirikiana kuendeleza madini mkakati
‘Uchumi wa Tanzania, Zanzibar kuendelea kuwa wa kuridhisha’
Prof Lipumba : Hali ya demokrasia duniani inaendelea kuporomoka
Rais Mwinyi : Serikali itajenga barabara nyingi Pemba