Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 20, 2023
Kimataifa
Rais Samia ateta na bosi wa Manchester United
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ateta na bosi wa Manchester United
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani Idris Elba ambaye ni Balozi wa Hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD pamoja na Mke wake Sabrina Elba walipokuwa Davos nchini Uswizi.
Mfanyabiashara mkubwa na Mwenyekiti mwenza wa Timu ya Manchester United ya Uingereza Avie Glazer akisikiliza kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiitangaza Tanzania katika mkutano uliofanyika Davos, nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kuitangaza Tanzania katika Sekta ya Uwekezaji kwenye ukumbi wa Mikutano wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 19 Januari, 2023. Wa kwanza kushoto aliyevaa miwani ni mfanyabiashara mkubwa na Mwenyekiti mwenza wa Timu ya Manchester United ya Uingereza Avie Glazer akisikiliza kwa makini wakati Mhe. Rais alipokuwa akiitangaza Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.
Post Views:
340
Previous Post
CHADEMA Lindi kushiriki mapokezi ya Lissu
Next Post
Baraza la biashara Kibaha laonyesha mwanga wa mafanikio
Rais Samka afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Habari mpya

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa