Rais Samia ateta na Baraza la Mawaziri, Ikulu Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Samia ateta na Baraza la Mawaziri, Ikulu Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 03 Mei, 2023.