Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 14, 2023
Habari Mpya
Rais Samia atembelea na kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3)
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia atembelea na kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Kigongo, Wilayani Misungwi kwa ajili ya kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75, Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS ) Eng. Pascal Ambrose wakati akikagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75. Mhe. Rais Samia amekagua Daraja hilo ambalo Ujenzi wake unatarajiwa kukamilika Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mmoja wa Wataalamu wa Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) Eng. Abdulkarim Majuto wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wake Mkoani Mwanza
Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kigongo Ferry Wilayani Misungwi mara baada ya kukagua Daraja la JP Magufuli Mkoani Mwanza Tarehe 14 Juni, 2023.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwasalimia Wananchi wa Sengerema na Buchosa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.
Wananchi wa Sengerema na Buchosa wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli ( Juliana Stephano Kidaso) mara baada ya kuwasili Sengerema Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023..
Post Views:
434
Previous Post
Rais Samia atembelea na kukagua daraja la JP Magufuli
Next Post
MNH yawezesha uanzishwaji wa kliniki ya Himofili na selimundu Kigoma
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Habari mpya
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika
REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 25 ya TAWJA
Dk Biteko apongeza Tamasha Ijuka Omuka
Polisi watoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Bernad Morrison