Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 14, 2024
Kimataifa
Rais Samia ashiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia Ufaransa
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ashiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia Ufaransa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye ni Kinara wa Nishati Safi ya kupikia, Afrika akishiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024 katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya Nishati (IEA) Mhe. Dkt. Fatih Birol pamoja na Rais wa Sierra Leone Mhe. Julius Maada Bio mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa akiwa Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia, Afrika. Rais Samia anashiriki Mkutano huo wa Kimataifa tarehe 14 Mei, 2024.Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika uliofanyika katika Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024. Rais Samia pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano huo wa Kimataifa ambao umewakutanisha viongozi kutoka sehemu mbalimbali Duniani.
Post Views:
325
Previous Post
SMZ kushirikiana na GEL kupeleka wanafunzi nje ya nchi
Next Post
Wananchi Iringa watakiwa kulinda miundombinu ya barabara kwa matumizi endelevu
Mawakili Tabora walaani kuzuiwa kutekeleza kazi zao
Wanafunzi 86 St Anne Marie Academy wachaguliwa shule za vipaji maalum
Mtalii wa Israel afariki katika Hifadhi ya Ngorongoro
Raia wa China wakamatwa Congo wakiwa na dhahabu yenye thamani ya bilioni 1.9/-
Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini
Habari mpya
Mawakili Tabora walaani kuzuiwa kutekeleza kazi zao
Wanafunzi 86 St Anne Marie Academy wachaguliwa shule za vipaji maalum
Mtalii wa Israel afariki katika Hifadhi ya Ngorongoro
Raia wa China wakamatwa Congo wakiwa na dhahabu yenye thamani ya bilioni 1.9/-
Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini
Kongo yawanyonga watu 102
Watu zaidi ya 100 wauawa kaskazini mwa Syria
Rais Mwinyi afungua Skuli ya Sekondari Tumbatu
Rais Samia aipongeza timu ya Simba
Tanzania mwenyeji mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi a Afrika
Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 99.9
Waandishi wapigwa msasa kuhusu mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika
Rais Samia na Mwenyekiti wa SADC – Organ ashiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi
Ulega atoa saa 72 kurejesha mawasiliano daraja Gonja Mpirani
Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine