Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kabla ya kuzindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.