Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, ambaye ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie  mara baada ya kuwasili i Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe, 01 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani, ambae ni Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Mazingira, Utalii na Sanaa wa nchi hiyo Mhe. Houmed M’Saidie mara baada ya kuwasilisha Ujumbe kutoka kwa Rais Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.