Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
December 10, 2023
MCHANGANYIKO
Rais Samia apokea hundi ya bil.2 kutoka taasisi mbalimbali kusaidia waathirika Hanang
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia apokea hundi ya bil.2 kutoka taasisi mbalimbali kusaidia waathirika Hanang
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi Bilioni mbili kutoka kwa Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika Mji mdogo wa Katesh, Hanang Mkoani Manyara hivi karibuni. Hundi hiyo ni michango iliyochangwa na Taasisi mbalimbali za Serikali na kuwasilishwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023 mara baada ya kupokea hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika Mji mdogo wa Katesh, Hanang Mkoani Manyara hivi karibuni.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango akizungumza kwenye hafla ya upokeaji wa hundi ya michango ya Maafa ya mafuriko, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango akiondoka Ikulu mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea Katesh, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla fupi ya upokeaji Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea Katesh, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea Katesh, Ikulu Jijini Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama mara baada ya hafla fupi ya kupokea Hundi ya michango kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali kwa ajili ya Maafa yaliyotokea Katesh, Ikulu Jijini Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za Serikali, Ikulu Chamwino Mkaoni Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.
Post Views:
288
Previous Post
Dk Yonazi aipongeza Muhimbili kupeleka msaada wa msaikolojia tiba,dawa na vifaa Hanang
Next Post
Waziri Mkuu azindua Awamu ya Nne ya Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa
Rais Samia akishiriki Mkutano wa Dharura wa SADC Zimbabwe
Mahakama Kisutu yafungwa mikono kusikiliza kesi ya kusambaza uongo inayomkabili Dk Slaa
Watanzania kunufaika na soko la ajira Qatar
Gavana Tutuba: Rejesheni mikopo kwa wakati, wengine wanufaike
Rais Dkt. Samia awasili Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa SADC
Habari mpya
Rais Samia akishiriki Mkutano wa Dharura wa SADC Zimbabwe
Mahakama Kisutu yafungwa mikono kusikiliza kesi ya kusambaza uongo inayomkabili Dk Slaa
Watanzania kunufaika na soko la ajira Qatar
Gavana Tutuba: Rejesheni mikopo kwa wakati, wengine wanufaike
Rais Dkt. Samia awasili Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa SADC
NMB yavunja rekodi ya ufanisi kwa matokeo ya kihistoria mwaka 2024
Serikali yachukua hatua kulinda mazingira ya bahari
Shambulio la droni la Urusi laua tisa mashariki mwa Ukraine
Ebola yathibitishwa Uganda, muuguzi afariki Kampala
Kiongozi wa M23 : Hatuondoki Goma, tunaitaka Kinshasa
Kisanduku cheusi cha ndege iliyoanguka Washington DC chapatikana
Rais Samia kuanza ziara ya kikazi Zimbambwe
Biashara saa 24 kuanza Februari 22
Wawili wafariki kwa mvua Moro
Milioni 466 kutolewa kwa vikundi Mafia