Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 27, 2023
Habari Mpya
Rais Samia apokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wa nchi 7, Ikulu Chamwino Dodoma
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia apokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wa nchi 7, Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Zambia hapa nchini Mhe. Mathew Jere mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Misri hapa nchini Mhe. Sherif Abdelhamid Imam Ismail mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023. Katika mazungumzo yao walisisitiza kuendelezwa kwa ushirikiano katika Sekta ya Elimu Ulinzi na Uwekezaji kwenye Kilimo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Brazil hapa nchini Mhe. Gustavo Martins Nogueira mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vatican hapa nchini Askofu Mkuu Angelo Accattino mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Ufilipino hapa nchini Mhe. Marie Charlotte G. Tang mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023. Wamezungumzia masuala ya Kilimo na Uvuvi ambayo nchi ya Ufilipino imepiga hatua kubwa katika sekta hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Romania hapa nchini Mhe. Dragos-Viorel -Radu Tigau mara baada ya kupokea Hati yake ya utambulisho, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023. Katika Mazungumzo yao wamesisitiza zaidi masuala ya Elimu na Teknolojia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Zambia hapa nchini Mhe. Mathew Jere mara baada ya kupokea Hati yake ya Utambulisho Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023. Pamoja na masuala mengine wamezungumzia pia kuhusu Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA pamoja na Bomba la Mafuta la TAZAMA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa Misri hapa nchini Mhe. Sherif Abdelhamid Imam Ismail mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Michael Battle mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 27 Februari, 2023.
Post Views:
177
Previous Post
NMB yapata ufadhili wa bil.572/- kutoka Jumuiya ya Ulaya
Next Post
Rais Samia atengua umiliki wa eneo la AZANIA Investment Mapinga
Ajali yaua sita wakiwemo walimu wanne
Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima
Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Habari mpya
Ajali yaua sita wakiwemo walimu wanne
Diwani CHADEMA ashikiliwa kwa tuhuma za kuua kwa kumpiga risasi mkulima
Waziri Ulega aagiza miradi ya BRT ikamilike kabla ya msimu wa mvua za masika
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua