Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 26, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia apokea Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi hapa nchini Chamwino Dodoma
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia apokea Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi hapa nchini Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini Mhe. Anne-Sophie Avé kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Barbados hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. William Alexander McDonald kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Ahn Enju kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ethiopia hapa nchini Mhe. Fekadu Beyene Ayana kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Nicole Providoli kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Somalia hapa nchini Mhe. Ilyasa Ali Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Australia hapa nchini mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya Mhe. Jenny Isabella Da Rin Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Niger hapa nchini mwenye makazi yake Addis Ababa nchini Ethiopia Mhe. Amadou Hassane Mai Daboua kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Post Views:
150
Previous Post
Balozi Nchimbi awasili kufunga kampeni za Serikali za Mitaa Dar es Salaam
Next Post
Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa
Mtalii wa Israel afariki katika Hifadhi ya Ngorongoro
Raia wa China wakamatwa Congo wakiwa na dhahabu yenye thamani ya bilioni 1.9/-
Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini
Kongo yawanyonga watu 102
Watu zaidi ya 100 wauawa kaskazini mwa Syria
Habari mpya
Mtalii wa Israel afariki katika Hifadhi ya Ngorongoro
Raia wa China wakamatwa Congo wakiwa na dhahabu yenye thamani ya bilioni 1.9/-
Polisi waombwa kumkamata rais wa Korea Kusini
Kongo yawanyonga watu 102
Watu zaidi ya 100 wauawa kaskazini mwa Syria
Rais Mwinyi afungua Skuli ya Sekondari Tumbatu
Rais Samia aipongeza timu ya Simba
Tanzania mwenyeji mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi a Afrika
Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 99.9
Waandishi wapigwa msasa kuhusu mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi Afrika
Rais Samia na Mwenyekiti wa SADC – Organ ashiriki Mkutano wa Dharura wa Utatu wa Wakuu wa Nchi
Ulega atoa saa 72 kurejesha mawasiliano daraja Gonja Mpirani
Urusi yaapa kulipiza kisasi baada ya mashambulizi ya Ukraine
Mtoto ajinyonga kwa kukosa nguo za sikukuu
Rais Mstaafu Kikwete apongeza maendeleo Zanzibar