JamhuriComments Off on Rais Samia apokea gawio la bil.45.4/- kutoka NMB
Baadhi ya viongozi wa serikali, wafanyakazi wa Benki ya NMB, viongozi wa dini pamoja wateja wa Benki ya NMB wakiwa katika katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya Mafanikio ya Benki ya NMB iliyofanyika leo tarehe 17/6/2023 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam.