Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Arusha

PACHA:Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa Tuzo na Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)

Tuzo hiyo imetolewa leo Juni 25,2023 kwa Rais Samia ikiwa ni kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini, katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Kutambua Mchango wake kwenye Mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya Duniani ambayo Kitaifa yamefanyika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 25 Juni, 2023.