Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 14, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru Dar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba, 2024.
Matukio mbalimbali wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwafariji Wanafamilia wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba, 2024.
Post Views:
193
Previous Post
TMDA yawashauri watoa huduma, wagonjwa kutoa taarifa za vifaa tiba visivyokidhi viwango
Next Post
Kuelekea Maadhimisho ya UKIMWI Duniani,Serikali yaeleza ushamiri wa VVU kitaifa kuwa ni asilimia 4.4
Ado Shaibu akiwanadi wagombea wa ACT wazalendo jimbo la Tunduru kaskazini
Chato msifanye makosa kuchagua vyama vingine – Dk Biteko
Twende na kasi ya dunia ubunifu na ujasiriamali : Balozi Nchimbi
CCM hatucheki na mtu katika kushika dola, tumejipanga – CPA Makalla
Waziri Ulega abariki pazia la shindano la Ladies First
Habari mpya
Ado Shaibu akiwanadi wagombea wa ACT wazalendo jimbo la Tunduru kaskazini
Chato msifanye makosa kuchagua vyama vingine – Dk Biteko
Twende na kasi ya dunia ubunifu na ujasiriamali : Balozi Nchimbi
CCM hatucheki na mtu katika kushika dola, tumejipanga – CPA Makalla
Waziri Ulega abariki pazia la shindano la Ladies First
Zitto akiwa na mgombea nafasi ya uenyekiti wa kijiji cha Nyarugusu
Serikali kuendelea kuiwezesha kibajeti IRDP
‘Sera ziguse wananchi uchaguzi mitaa’
Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake
Wanawake jamii za asili wakutana Arusha kujadili changamoto zao
TPA yaingiza timu nne fainali mashindano ya SHIMMUTA Tanga
Zitto awanadi wagombea wa chama chake Jimbo la Kasulu mkoani Kigoma
Simba yazidi kujikita kileleni
Polisi yamsaka mmiliki wa jengo lililoporomoka Kariakoo
Tanzania, China zasisitiza kukuza ushirikiano