Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati wa Hafla ya kutoa Heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Michezo wa Amani mjini Zanzibar. Hayati Mzee Mwinyi alifariki dunia tarehe 29 Februari 2024 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es salaam alipokuwa amelazwa akipata matibabu ya Saratani ya Mapafu, na anatarajiwa kuzikwa Kijijini kwake Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja tarehe 02 Machi 2024.
Rais Samia aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Zanzibar
Jamhuri
Comments Off on Rais Samia aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi Zanzibar