Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 15 Januari, 2024 Mjini Unguja Zanzibar.
Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar
Jamhuri
Comments Off on Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar