Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika tarehe 31 Agosti, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.