Rais Samia amwapisha Wakili Mkuu wa Serikali na naibu wake
JamhuriComments Off on Rais Samia amwapisha Wakili Mkuu wa Serikali na naibu wake
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende , Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt.Boniphace Nalija Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es SalaamWakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo pamoja na Wakuu mbalimbali wa Taasisi wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sarah Duncan Mwaipopo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam