Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 29, 2022
Kitaifa
Rais Samia amuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na Majaji
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia amuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza na Majaji
R
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan akimvalisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza (SACP) Mzee Ramadhani Nyamka Cheo kipya cha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Jeshi hilo katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka kuwa Mkuu wa Jeshi hilo katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Majaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali mara baada ya kumuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka pamoja na Majaji Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango, Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng. Hamad Masauni, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu aliowaapisha Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Post Views:
218
Previous Post
Waziri Simbachawane: Kazi ndio heshima ya mtu
Next Post
Makinda:Asilimia 93.45 za kaya Tanzania zimehesabiwa
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
Habari mpya
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM
Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa
Waziri Kabudi apokea taarifa ya vazi la taifa
Mkuu wa jeshi achaguliwa kuwa rais wa Lebanon