Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akimvisha cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Dora Kiteleki, leo Septemba 6,2024. 

IGP Wambura amemvisha cheo hicho baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kumpandisha cheo Septemba 5,2024.

Please follow and like us:
Pin Share