Rais Samia akutana na Waziri wa Norway anayeshughulikia maendeleo ya kimataifa
JamhuriComments Off on Rais Samia akutana na Waziri wa Norway anayeshughulikia maendeleo ya kimataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Masuala ya Nordic Anne Beathe Tvinnereim aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Masuala ya Nordic Anne Beathe Tvinnereim aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Masuala ya Nordic Anne Beathe Tvinnereim mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022