Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa aliyeambatana na ujumbe wake Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Kundi la Mashirika ya Ndege ya Ethiopia Girma Wake Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Kundi la Mashirika ya Ndege ya Ethiopia Girma Wake kabla ya mazungumzo yao Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Kundi la Mashirika ya Ndege ya Ethiopia Girma Wake mara baada ya mazungumzo yao Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.
Please follow and like us:
Pin Share