Rais Samia akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Ethiopia
JamhuriComments Off on Rais Samia akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Ethiopia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Abiy Ahmed uliowasilishwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 24 April 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum ambae pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar tarehe 24 April 2023.