Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 14, 2023
Habari Mpya
Rais Samia akutana na madaktari bingwa wa mifupa kutoka Marekani
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia akutana na madaktari bingwa wa mifupa kutoka Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wageni mbalimbali Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023. Mhe. Rais Samia aliwaandalia Madaktari hao wanaotoa huduma ya upasuaji katika Hospitali ya Selian Lutheran Mkoani Arusha Chakula cha mchana kuwashukuru kwa moyo wao wa kujitolea kuwasaidia Watanzania katika sekta hiyo ya Afya
Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani, Tanzania pamoja na wageni wengine wakiwa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya hafla ya Chakula cha mchana walichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru kutokana na mchango wao kwa jamii tarehe 13 Agosti, 2023.
Viongozi mbalimbali wa Serikali waliohudhuria hafla ya Chakula cha mchana kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa hafla ya Chakula cha mchana aliyowaandalia kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Operation Walk USA Paul Gilbert akizungumza kwenye hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwashukuru na kuwapongeza Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, viongozi wengine wa Serikali kwenye picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2
023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, viongozi wengine wa Serikali kwenye picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani pamoja na wale wa Tanzania, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 202
3.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Operation Walk USA Paul Gilbert mara baada ya hafla ya chakula cha mchana alichowaandalia Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 202
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia picha za Wanafunzi wa Shule ya St. Lucky Vincent waliopata ajali tarehe 06 Mei, 2007 kutoka kwenye simu ya mmoja ya Madaktari Bingwa wa Mifupa kutoka California nchini Marekani Kevin Negaard, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Operation Walk USA Paul Gilbert, Lazaro Nyalandu pamoja na Ujumbe wa Wizara ya Afya Ikulu Chamwino Mkoani Dodo
ma.
Post Views:
195
Previous Post
Aukumiwa kwenda jela maisha wa kumbaka mtoto
Next Post
Simba bingwa ngao ya jamii 2023/24
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Habari mpya
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga