Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
January 26, 2023
Kimataifa
Rais Samia akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia, Dakar Senegal
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia akutana na kuzungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia, Dakar Senegal
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn aliyeambatana na ujumbe wake Dakar, Senegal tarehe 26 Januari,2023. Pamoja na mambo mengine, katika kikao hicho wamezungumzia jinsi ambavyo Tanzania imejiandaa kuwa mwenyeji wa Mkutano mkubwa wa Kilimo utakaohusisha, viongozi, watu mashuhuri na Wadau wapya 3,000. Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn ni Mwenyekiti wa Africa’s Food Systems Forum (AGRF)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Dakar nchini Senegal tarehe 26 Januari, 2023. wengine katika Picha ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe pamoja na Viongozi wengine kutoka Tanzan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn ambaye pia ni Mwenyekiti wa Africa’s Food Systems Forum (AGRF) mara baada ya mazungumzo yao Dakar, Senegal tarehe 26 Januari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Marais wa nchi mbalimbali za Afrika wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Kilimo na Chakula kwa Bara la Afrika uliofanyika Dakar nchini Senegal.
Post Views:
298
Previous Post
Polisi wazungumzia taarifa za ugaidi kwenye mitandao
Next Post
Jumaa:Twendeni kwenye majukwaa tukaeleze yanayofanywa na Serikali
Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Habari mpya
Moto wa nyika Los Angeles ulisababishwa na nini?, watu 137 wakimbia miji yao
Rais Samia afanya teuzi za Majaji wa Mahakama za Rufani
Serikali kuendelea kupokea maoni Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050
Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni
Waziri Mkuu awasili Uganda kumwakilisha Rais Samia mkutano wa kilimo
Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba
Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini
RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa
Wizara ya Elimu mbioni kuzindua mitaala mipya iliyoboreshwa
Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu
REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba
Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro
Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM