Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa
JamhuriComments Off on Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha pamoja na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International Residual Mechanism for Criminal Tribunals-(IMRCT) Craciela Gatti Santana mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es SalaamRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Iman D. Aboud pamoja na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.