Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
March 16, 2023
Kimataifa
Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais Afrika Kusini
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais Afrika Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika Majengo ya (
Union Buildings)
, Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mapokezi ya Viongozi vilivyopo kwenye Majengo ya (
Union Buildings)
, Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa wakati akimuonesha Majengo mbalimbali ya Mji wa Pretoria katika Ziara yake ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuanza mazungumzo Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa yaliyofanyika katika Ofisi za Majengo ya Muungano, Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akivalishwa Nishani ya Heshima kutoka kwa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa kabla ya kuzungumza na Wanahabari katika ziara yake ya Kiserikali, Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa wakati wakielekea kwenye Viwanja vya mapokezi ya Viongozi vilivyopo katika Ofisi za Majengo ya (
Union Buildings)
, Pretoria nchini Afrika Kusini wakati wa ziara yake tarehe 16 Machi, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mapokezi ya Viongozi vilivyopo kwenye Majengo ya (
Union Buildings)
, Pretoria nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa wakati akimuonesha Majengo mbalimbali ya Mji wa Pretoria katika Ziara yake ya Kiserikali nchini Afrika Kusini tarehe 16 Machi, 2023
Post Views:
316
Previous Post
Ibaada ya kumuaga Costa Titch yaahirishwa
Next Post
Dkt.Bazilio: Msisafishe masikio kwa pamba, hujisafisha yenyewe
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Habari mpya

Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini