Rais Samia akizungumza kabla ya kufunga Mkutano Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi
JamhuriComments Off on Rais Samia akizungumza kabla ya kufunga Mkutano Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha ya kuchora kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha ya kuchora kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.