Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa bodi ZEEA Ikulu
JamhuriComments Off on Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa bodi ZEEA Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na viongozi pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Machi, 2025.