Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Bw. Esteban Lazo Hernandez, wakati alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.