Rais Samia akiteta na Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Samia akiteta na Baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 08 February 2023.