Rais Samia akitembelea mabanda ya maonesho ya kahawa kabla ya kushiriki mkutano
JamhuriComments Off on Rais Samia akitembelea mabanda ya maonesho ya kahawa kabla ya kushiriki mkutano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda mbalimbali ya maonesho ya kahawa kabla ya kushiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi zinazozalisha Kahawa Barani Afrika (The 3rd G25 Africa Coffee Summit) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.