Rais Samia akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika
JamhuriComments Off on Rais Samia akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AUPSC) pamoja na viongozi kutoka nchi mbalimbali katika Makao Makuu wa Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 14 Februari, 2025.