Rais Samia akisalimiana na wananchi Kiwira akielekea Tukuyu
JamhuriComments Off on Rais Samia akisalimiana na wananchi Kiwira akielekea Tukuyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Kiwira Wilaya Rungwe Mkoani Mbeya alipokua njiani akielekea Tukuyu tarehe 07 Agosti, 2022.