Rais Samia akisalimia na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na abiria aliosafiri nao wakati akielekea Ankara nchini Uturuki
JamhuriComments Off on Rais Samia akisalimia na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na abiria aliosafiri nao wakati akielekea Ankara nchini Uturuki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wafanyabiashara mbalimbali pamoja na abiria alioambatana nao safarini wakati akielekea Jijini Ankara kwa ajili ya kuanza ziara Rasmi nchini Uturuki tarehe 17 Aprili, 2024.