Dar es Salaam, JAMHURI MEDIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2021/2022 kutoka kwa Charles Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Ripoti ya TAKUKURU ya Mwaka 2021/2022 kutoka kwa CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 29, 2023

fuatilia mubashara kupitia kiungo hiki