Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikagua jengo la Makumbusho la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipata maelezo wakati alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.