Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
October 9, 2022
Kitaifa
Rais Samia ahutubia Baraza la Maulid
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ahutubia Baraza la Maulid
Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana mara baada ya kumalizika kwa Baraza la Kitaifa la Maulid katika ukumbi wa Diamond Jubilee tarehe 09 Oktoba 2022.
Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria na kuhutubia kwenye Baraza la Maulid ambalo Kitaifa limefanyika Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha (kushoto) ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla
Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Baraza la Maulid la kusherehekea mazazi ya Mtume Muhammad(
S.AW
) ambalo Kitaifa limefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Oktoba, 2022
Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Maulid kusherehekea mazazi ya Mtume Muhammad(
S.AW
) ambalo Kitaifa limefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Oktoba, 2022.
Post Views:
196
Previous Post
Mkenda akerwa kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi
Next Post
Simba yanusa hatua ya makundi Ligi Mabingwa, yashinda 3-1
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia